Kuhusu sisi

Bull Condom ni Condom za kiume zinazo sambazwa na DKT international. Tuna ladha tano ambazo ni Orange, Black, Red, Gold na Blue. Kila ladha ina sifa za kipekee zinazoitofautisha na nyingine, huku zote zikibaki na ubora ule ule.

Orange Bull ni maalumu kwa wanaume wanaotaka kuonyesha upendo na kumpa mwanamke ladha aipendayo, ladha ya machungwa. Black Bull ni maalumu kwa wanaume wanaojivunia, Red Bull kwa wanaume wenye kutaka kuonyesha ushujaa kunako sita kwa site.

Kwa upande wa Gold Bull, hizi ni za kipekee sana kwani zina vipelepele ambavyo humpa mwanamke ladha na utamu wa kipelee sana wakati wa kujamiiana. Blue Bull hizi ni nyembamba zaidi na maalumu kumchelewesha mwanaume kufika kileleni. Zimewekwa mafuta maalumu kwenye ncha, ambayo hukipa ganzi ya muda kichwa cha uume na hivyo kumchelewesha mwanaume kufika kileleni.

Kupitia bidhaa zetu, lengo kuu la DKT international ni kupambana na magonjwa ya zinaa, mimba zisizotarajiwa na punguza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.

Bull-Red-Condom